Habari za Punde

*WAZIRI WA NISHATI, SIMBACHAWENE AFANYA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI YA UMEME DAR




 Meneja wa Miradi wa Shirika la Umeme Tanzania Tanesco, Manirabona Emmanuel, akifafanua jambo kwa Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene, kuhusu maendeleo ya ujenzi wa Vituo vya kufua Umeme, wakati Waziri huyo alipotembelea Kituo cha Mbagala jijini dar es Salaam, leo.
Waziri Simbachawene, akitembelea kukagua maendeleo ua ujenzi wa kituo cha kufua umeme. Picha na Jay Jay

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.