Waziri
wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha
na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile walipomtembelea Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya Dunia wa kundi
namba 1 Afrika Bw. Louis Rene Peter Larose ofisini kwake wakiwa
mjini Washington DC.Walio ambatana na Mhe. Waziri kutoka kushoto ni Bw. Beda Shallanda Kamishina
wa Sera,Bw.Ngosha Said Magonya Kamishina wa Fedha za nje na Bw. John Cheyo
Kamishina wa Bajeti na wa pembeni ni mfanyakazi wa Benki ya Dunia.
Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia wa kundi namba moja Afrika Bw. Louis Rene Peter Larose ofisini kwake jijini Washington DC.
Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum akipiga picha ya kumbukumbuna kuagana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia wa kundi namba moja Afrika Bw. Louis Rene Peter Larose, baada ya mazungumzo yao jijini Washington DC.
Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya akiwa kkatika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia wa kundi namba moja Afrika Bw. Louis Rene Peter Larose. Kutoka (kushoto) ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile , Bw. Beda Shallanda Kamishina wa Sera na Bw. Paul Mwafongo ambaye ni Afisa katika ubalozi wa Tanzania na kutoka kushoto ni Bw.Ngosha Said Magonya Kamishina wa Fedha za nje Bw. John Cheyo Kamishina wa Bajeti na wa pembeni ni mfanyakazi wa Benki ya Dunia. Picha zote na Ingiahedi Mduma- Washington DC.
No comments:
Post a Comment