Rais Jakaya Kikwete (katikati) akishiriki na baadhi ya Viongozi wengine wakati wakiimba wimbo maalum wa Mshikamano (Solidarity Forever) kwenye Sherehe za Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza leo.
Walimu wakipita mbele ya jukwaa kuu na bango lenye ujumbe kwa Mhe. Rais.
Shemeji unatuachaje?????



No comments:
Post a Comment