Habari za Punde

*FRANSIC CHEKA KUZICHAPA NA MCHINA, KIATCHAI UKUMBI WA P.T.A SABASABA LEO

Mabondia Francis Cheka (kushoto) na Kiatchai Singwancha, kutoka China, wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito kwa ajili ya pambano lao la leo katika ukumbi wa P.T.A sabasaba
Mabondia Francis Cheka (kushoto) na Kiatchai Singwancha wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito.
Mabondia Selemani Zugo na Twaha Kiduku wakitunishiana misuli
Bondia Joseph Sinkala, akitunishiana misuli na Ibrahim Maokola baada ya kupima uzito kwa ajili ya pambanolaola utangulizi leo katika pambano la kimataifa kati ya Cheka na Mchina, 
Bondia Epson John, akipima uzito.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.