Habari za Punde

*MAALIM SEIF ACHUKUA FOMU YA URAIS ZANZIBAR

Makamau wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif, akikabidhiwa fomu za kuwania nafasi ya urais wa Zamzibar kwa mara nyingine tena, wakati alipowasili kwenye ofisi za Chama hicho, mjini Zanzibar jana.
Maalim Seif, akionyesha fomu aliyokabidhiwa kwa wanachama wa Cuf baada ya kukabidhiwa.
Hapa ni wakati maalim Seif, akiongozana na wapambe wake kuelekea kuchukua fomu.
akithibitisha kukabidhiwa fomu hiyo.
Maalim Seif, akisaini katika kitabu kuashiria kukabidhiwa fomu.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.