Habari za Punde

*MAANDALIZI YA MKUTANO WA LOWASSA KUTANGAZA NIA KESHO JIJINI ARUSHA

 Maandalizi ya mkutano mkubwa wa Mhe. Edward Lowassa, unaofanyika kesho kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kwa ajili ya kutangaza nia ya kuwania urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Jiji hilo la Arusha hadi sasa linaendelea kurindima na kufurika wageni waalikwq kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania, pamoja na waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali nchini.
 Baadhi ya wadau waliokwisha wasili jijini Arusha kwa ajili ya kujiandaa kuhudhuria mkutano huo, kesho.
 moja ya eneo litakalotumika kama jukwaa.
 Gari likipita mitaani kupiga P.A kuwaarifu na kuwaalika wananchi kuhudhuria mkutano huo.
Mmoja kati ya wadau waliowasili jijini Arusha akiwa.ametinga tisheti ya Team Lowasa.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.