Habari za Punde

*MKUTANO WA TANO WA JUKWAA LA WADAU WA TASNIA YA MAZIWA (DDF)

 Mwenyekiti wa Jukwaa la Wadau wa Tasnia ya Maziwa, Prof. Rath Ryoba, akifungua Mkutano wa Tano wa Tasnia ya Maziwa (DDF) Mkoani  Manyara.
 Baadhi ya Washiriki ,Wadau wa Tasnia ya Maziwa wakimsikili Mwenyekiti Katika Mkutano  wa Tano wa Jukwaa la Wadau wa Tasniaa Maziwa (DDF) Uliofanyika katika Ofis za Halimashauri za Mji wa Babati Manyara. 
 Washirki wa Tasnia ya Maziwa wakifuatilia mada mbalimbali kwenye Mkutano wa Tano wa Jukwaa la wadau wa Tasnia ya Maziwa (DDF) uliofanyika katika Ofisi za Halimashauri za Mji wa Babati, Manyara.
Washirki wa Tasnia ya Maziwa wakifuatilia mada mbalimbali kwenye Mkutano wa Tano wa Jukwaa la wadau wa Tasnia ya Maziwa (DDF) uliofanyika katika Ofisi za Halimashauri za Mji wa Babati, Manyara. Picha na Miraji Msala

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.