Habari za Punde

*MMASAI ATOA MPYA LEO DAR AKATA KILEVI HUKU AKINYESHEWA NA MVUA PEKE YAKE

Mmasai huyo akiiendelea kukata kinywaji kwenye Baa ya Hongera maeneo ya Sinza, huku  akinyeshewa na mvua kubwa iliyokuwa ikinyesha leo mchana, jijini Dar.  Hata hivyo Mmasai huyo alikendelea kuwavunja mbavu baadhi ya watu waliokuwepo eneo hilo kwa vituko vyake vya kuwasumbua wahudumu kila mara akihitaji huduma ya kuongezwa pombe, na mhudumu anapopeleka pombe baada ya dakika moja anamuita tene mhudumu akimwagiza aende kuchukua sh. Miatano ili ampelekee sigara huku mvua kubwa ikiendelea kunyesha.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.