Habari za Punde

*MAFURIKO UAENDELEA KUITESA ZANZIBAR, UWANJA WA NDEGE WAJAA MAJI

 Uwanja wa ndege wa Zanzibar ukiwa umejaa maji kutoka na mvua zinazoendelea kunyesha nchini, ambapo mji wa Zanzibar pia umekumbwa na mafuriko makubwa na baadhi nyumba kubomoka na miundombinu kuharibika.
 Mbele ya lango la kuingilia wasafiri wanaoondoka pia likiwa limejaa maji.
 Baadhi ya mitaa pia ikiwa  imeharibika kwa barabara kukatika kama inavyoonekana.
 Uharibifu mkubwa uliotokea kutokana ba mvua hizo.
 Wananchi wakiangalia shimo lililotokana na maji ya mvua hizo.
 Maji yakiwa yamejaa eneo la wazi na kisomba baadhi ya vitu, huku magari yakipita kwa taabu eneo hilo.
Moja kati ya nyumba zilizoathirika na mafuriko hayo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.