Habari za Punde

*MWANAUME HASIFIWI KULA, ILA MWANAUME KAZI

 Mfanyabiashara wa mabegi akiwa na mzigo wa mabegi kichwani akitoka kununua kwa jumla akielekea kuuza katika eneo lake la biashara kama alivyonaswa na kamera ya mafoto mitaa ya Kariakoo leo mchana. Ama kweli Mwanaume hasifiwi kula ila mwanaume kazi kwanza.
 Mzigo unasonga, wanaume kazini..mdogomdogo....
Utafika tuuuuuu....

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.