Ratiba ya mazishi ya marehemu JOHN NYERERE:
12 May 15 Jumanne, saa 4 hadi 7 mchana Last respect, Msasani kwa Mwalimu Nyerere.
Saa 8 mchana maiti kusafirishwa na ndege ya Jeshi hadi Musoma.
13 May Jumatano mazishi Butiama. Mungu amlaze pema Peponi amina.

No comments:
Post a Comment