Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye, akizungumza na Waandishi wa habari kuhusu maamuzi yake ya kujiondoa uanachama wa CCM na kujiunga na Chadema, wakati wa mkutano wa UKAWA, leo katika Hoteli ya Ledger Plaza, jijini Dar es Salaam. ITV. ilikuwa ikirusha Live mkutano huo
DKT. KIJAJI: TANAPA, TAWA NENDENI NA KASI YA RAIS SAMIA KUCHECHEMUA UTALII
-
Na Sixmund Begashe, Iringa
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dkt. Ashatu Kijaji, amezitaka taasisi za
uhifadhi nchini, Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania ...
2 hours ago

No comments:
Post a Comment