Hapa ilikuwa ni Tambwe v/s Wawa, Mshambuliaji wa Yanga Amis Tambwe, akijaribu kumtoka beki wa Azam Fc, Pascal Wawa, Shughuli ilikuwa nzito, katika mchezo wa kuwania Ngao ya Jamii ikiwa ni ishara ya kufungua Ligi Kuu ya Tanzania Bara, uliochezwa mwishoni mwa wiki iliyopita kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Katika mchezo huo Yanga ilishinda kwa mikwaju ya Penati 8-7. Kwa upande wa Yanga Nadir Haroub alikosa penati ya kwanza na kwa upande wa Azam, waliokosa walikuwa ni Ame Ally na Shomari Kapombe. CHEKI CHINI PICHA ZOTE ZA WAPIGA PENATI WALIOKOSA NA WALIOPATA WALIVYOWATESA MAKIPA.
Tambwe v/s Wawa....
Tambwe na Wawa,ilikuwa ni hadi kieleweke.......
Hapa ilikuwa ni nguvu v/s akili......
Tambwe akipiga shuti mbele ya Wawa
Wawa akimlalamikia mwamuzi wa pembeni....
Wawa akilambwa chenga na Donald Ngoma.....
Simon Msuva akimtoka Erasto Nyoni......
Wachezaji wa timu za Ligi kuu Juma Kaseja, Mussa Hassan Mgosi na wenzake wakishuhudia mtanange huo wakia jukwaani....
CHEKI WAKALI WOTE WA KUPIGA PENATI HAPA KATIKA MTANANGE HUO
Kipre Herma Tchetche akipata penati ya kwanza.... KWA PICHA ZAIDI BOFYA READ MORE

Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub 'Canavaro' akikosa penati ya kwanza
Nahodha wa Azam Fc, John Bocco,akipata penati ya pili
Haruna niyonzima akipata penati ya pili
Himidi Maoakipata penati ya tatu
Deus Kaseke akipata penati ya Tatu
Pascal Wawa akikosa penati ya Nne
Amis Tambwe akipata penati ya Nne
Agrey Morris akipata penati ya Tano
Andrey Coutihno akipata penati ya Tano
Jean Mugeraneza akipata penati ya Sita
Geofrey Mwashiuya akipata penati ya Sita
Erasto Nyoni akipata penati ya Saba
Thaban Kamusoko akipata penati ya Saba
Shomari Kapombe akipata penati ya Nane
Mbuyu Twite akipata penati ya Nane
Ame Ally akikosa penati ya Tisa
Kipa wa Azam Fc, Aishi Manula,akipongezana na kipa wa Yanga, Mustafa Bartez
Kelvin Yondani akipata penati ya Tisa
Wchezaji wa Yanga wakimpongeza Yondani baada ya kufunga penati ya mwisho iliyowawezesha kuibuka washindi.
Mpigaji wa penati ya mwisho Kelvin Yondani akikimbia kushangilia ushindi baada ya penati yake ya mwisho.
Mashabiki wa Yanga wakishangilia
Twite akimbeba Bartez baada ya kudaka penati mbili
Wachezaji wa Yanga wakishangilia ushindi
Kocha wa makipa wa Yanga Juma Pondamali akishangilia sambamba na wachezaji wake.
Raha ya ushindi...
Kocha wa Yanga, akiwa na mtoto wake wakati wakikabidhiwa Ngao ya Jamii
Wachezaji wa Azam Fc, wakipokea zawadi ya medali
Wachezaji wa Azam Fc, wakipokea zawadi ya medali
Wachezaji wa Yanga, wakipokea zawadi ya medali
Wachezaji wa Yanga, wakipokea zawadi ya medali
Wachezaji wa Yanga wakishangilia baada ya kukabidhiwa Ngao ya Jamii
Picha ya pamoja wakati wa kukabidhiwa









































No comments:
Post a Comment