Habari za Punde

*MGOMBEA MWENZA WA CCM AANZA KAMPENI KILIMANJARO LEO

 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan akilakiwa na wananchi baada ya kuwasili Ofsi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro leo, wakati akiwa katika harakati zake za kampeni za CCM kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu, baada ya kuzinduzliwa kwa kampeni hizo kwenye Viwanja vya Jangwani jijni Dar es Salaam, jana. 
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Samia Suluhu Hassan, akimbeba mtoto mchanga, alipokagua Kituo cha Afya cha Hedalu Wilayani Same mkoani Kilimanjaro leo, wakati akiwa katika harakati zake za kampeni za CCM kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu, baada ya kuzinduzliwa kwa kampeni hizo kwenye Viwanja vya Jangwani jijni Dar es Salaam, jana. 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.