Menu

Monday, August 24, 2015

*DKT. SHEIN ACHUKUA FOMU ZANZIBAR


Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk.Ali Mohamed Shein akiwa Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akipokea fomu hiyo kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi wa Zanzibar ZEC Jecha Salum Jecha katika Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja leo. Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment