Menu

Monday, August 24, 2015

*RAIS KIKWETE AWASILI MKOANI ARUSHA KUFUNGUA MKUTANO WA SEKTA YA BARABARA

 Baadhi ya wananchi wa Mkoa wa Arusha wakimkaribisha kwa shangwe Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro ttayari kufungua Mkutano wa nne wa mwaka wa wadau wa sekta ya barabara chini ya Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa unaofanyka katika hoteli ya Ngurdoto Mkoani Arusha.
Rais Kikwete akisalimiana na baadhi ya wananchi alipowasili kata ya Ngurdoto Wilayani Arumeru,Mkoani Arusha leo. Picha na Freddy Maro

No comments:

Post a Comment