Habari za Punde

*HABARI KUTOKA TFF LEO, VIJANA WATANO U-15 WAELEKEA AFRIKA KUSINI

VIJANA WATANO U-15 WAELEKEA AFRIKA KUSINI
Wachezaji watano kutoka katika kikosi cha vijana wenye umri chini ya miaka 15 (U-15) wanaondoka leo jijini Dar es salaam kuelekea nchini Afrika Kusini katika klabu ya Orlando Pirates kwa ajili ya kufanya majaribio. Fuata link chini kwa taarifa zaidi


U-15 KUWAVAA KOMBAINI YA MOROGORO
Timu ya taifa ya Vijana wenye umri chini ya miaka 15 (U15) leo inashuka dimbani kucheza na timu ya kombaini ya mkoa wa Morogoro (U15) katika mchezo wa kirafiki utakochezwa majira ya saa 10 jioni mjini Morogoro. Fuata link chini kwa taarifa zaidi


TFF YATUMA SALAM ZA RAMBIRAMBI
Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) limetuma salam za rambi rambi kwa Chama cha Mpira wa Miguu mkoa wa pwani (COREFA) kufuatia kifo cha mwamuzi mstaafu wa FIFA na kamishina wa TFF, Gilbert Mando kilichotokea jana mjini Bagamyoyo. Fuata link chini kwa taarifa zaidi

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.