*MKWASA ASEMA STARS IPO KAMILI
Kocha Mkuu wa timu ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro, Charles Mkwasa amesema vijana wake wapo tayari kuwavaa Nigeria Septemba 05, 2015 katika mchezo wa kuwania kufuzu kwa fainali za AFCON mwaka 2017. Fuata link chini kwa taarifa kamili
*U-15, KOMBAINI MOROGORO 0 -0
Kocha wa timu taifa ya vijana chini ya umri wa 15, Bakari Shime hakuwepo leo asubuhi kwenye benchi wakati timu hiyo inalazimishwa sare ya bila kufungana na Moro Kids katika mchezo wa kirafiki, Uwanja wa Jamhuri, Morogoro. Fuata link chini kwa taarifa zaidi
Zaidi bofya link hizi: http://tff.or.tz/news/143-mkwasa-asema-stars-ipo-kamili

No comments:
Post a Comment