Habari za Punde

*HAFLA YA UZINDUZI WA KITABU DARAJA JUU YA MTO NILE KILICHOANDIKWA NA PROF MARK MWANDOSYA

 Mtunzi wa Kitabu cha Daraja Juu ya Mto Nile, Prof. Mark Mwandosya na mgeni rasmi Salim Ahmed Salim, kwa pamoja wakionyesha kitabu hicho baada ya kuzinduliwa jijini Dar es Salaam,leo.
 Prof Mark Mwandosya  ambaye ni mwandishi wa kitabu hicho akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wakitabu hicho cha  DARAJA JUU YA MTO NILE Leo katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere Internation Convention Centre jijini Dar.
 Dr Salim Ahmed Salim akiwa pamoja na mwandishi wa kitabu hicho Prof Mark Mwandosya kwa pamoja wakikata utepe kukizindua kitabu cha Daraja Juu ya Mto Nile leo katika ukumbi wa Nyerere Internation Convention Centre jijin Dar es Salaam
 Baadhi ya wangen waalikwa wakipiga makofi kuashiria kufurahia uzinduzi wa kitabu hicho.
 Baadhi ya wangeni waalikwa wakimsikiliza mgen rasmi wakati wa uzinduzi wa kitabu hicho cha DARAJA JUU YA MTO NILE leo katika ukumbi wa Nyerere Internation Convention Centre jijin Dar es Salaam.

 Baadhi ya wangeni waalikwa wakimsikiliza mgen rasmi wakati wa uzinduzi wa kitabu hicho cha DARAJA JUU YA MTO NILE leo katika ukumbi wa Nyerere Internation Convention Centre jijin Dar es Salaam.
Prof Mark Mwandosya akisain baadhi ya vitabu alivyovizindua leo 
Kutoka (kushoto) ni mama Lucy,ambaye ni mke wa, Prof Mark Mwandosya, Dkt. Salim Ahmed Salim, Mh Waziri mkuu mstaafu Sumye na  Mh Balozi. Picha na Miraji Msala

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.