Mtunzi wa Kitabu cha Daraja Juu ya Mto Nile, Prof. Mark Mwandosya na mgeni rasmi Salim Ahmed Salim, kwa pamoja wakionyesha kitabu hicho baada ya kuzinduliwa jijini Dar es Salaam,leo.
Prof Mark Mwandosya ambaye ni mwandishi wa kitabu hicho akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wakitabu hicho cha DARAJA JUU YA MTO NILE Leo katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere
Internation Convention Centre jijini Dar.
Dr Salim Ahmed Salim
akiwa pamoja na mwandishi wa kitabu hicho Prof Mark Mwandosya kwa pamoja
wakikata utepe kukizindua kitabu cha Daraja Juu ya Mto Nile leo katika ukumbi
wa Nyerere Internation Convention Centre jijin Dar es Salaam
Baadhi ya wangen waalikwa wakipiga makofi
kuashiria kufurahia uzinduzi wa kitabu hicho.
Baadhi ya wangeni waalikwa wakimsikiliza mgen rasmi wakati wa uzinduzi wa kitabu hicho cha DARAJA JUU YA MTO NILE leo
katika ukumbi wa Nyerere Internation Convention Centre jijin Dar es Salaam.
Baadhi ya wangeni waalikwa wakimsikiliza mgen rasmi wakati wa uzinduzi wa kitabu hicho cha DARAJA JUU YA MTO NILE leo katika ukumbi wa Nyerere Internation Convention Centre jijin Dar es Salaam.
Prof Mark Mwandosya
akisain baadhi ya vitabu alivyovizindua leo
Kutoka (kushoto) ni mama Lucy,ambaye
ni mke wa, Prof Mark Mwandosya, Dkt. Salim Ahmed Salim, Mh Waziri mkuu mstaafu
Sumye na Mh Balozi. Picha na Miraji Msala
No comments:
Post a Comment