Mwenyekiti wa CUF, aliyejiuzulu hivi karibuni, Profesa Ibrahimu Lipumba , akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, jana akitokea Jijini Rwanda. Akizungumza mara tu baada ya kuwasili, Lipumba, akisema kuwa aliwa Jijini Rwanda, kwa kazi maalum kufanya Utafiti, ambayo amefanikiwa kuimaliza.

No comments:
Post a Comment