Habari za Punde

*INNOCENT MELLECK SHIRIMA ACHUKUA FOMU ZA UBUNGE JIMBO LA VUNJO.

Mgombea Ubunge wa jimbo la Vunjo, Innocent Shirima, akisaini katika kitabu cha wageni wakati alipowasili kwenye ofisi za msimamizi wa Uchaguzi jimbo hilo, ambaye pia ni mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Moshi, kwa ajili ya kuchukua fomu za kuwania Ubunge wa jimbo hilo katika uchaguzi mkuu unaotarajia kuanza Oktoba 25, mwaka huu.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Moshi na msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Vunjo, Furgence Mponji, akimkabidhi fomu za kuwania ubunge wa Jimbo la Vunjo, Bw. Innocent Shirima.
Innocent Shirima, akionyesha fomu zake baada ya kukabidhiwa.
Innocent Shrima akiwa na makada waliomsindikiza wakatialipofika ofisi za msimamizi wa uchaguzi kwa ajili ya kuchukua fomu.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.