Habari za Punde

*KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM NEC ZANZIBAR


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) mara walipoingia katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja leo katika kikao cha kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM NEC ya Zanzibar,(kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai alipokuwa akitoa taarifa ya kikao kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM NEC ya Zanzibar kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein  katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja leo kbla ya kukifungua kikao hicho
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akikifungua  kikao cha kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM NEC ya Zanzibar leo katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja,(kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi (kushoto)
 Baadhi ya wajumbe wa kikao cha kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM NEC ya Zanzibar wakifuatuilia kwa makini ratiba ya kikao hicho kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja.
 Baadhi ya wajumbe wa kikao cha kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM NEC ya Zanzibar wakifuatuilia kwa makini ratiba ya kikao hicho kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja. Picha na Ikulu

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.