Habari za Punde

*NAIBU WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA JANETH MBENE ATEMBELEA KIWANDA CHA VIGAEMKOANI MBEYA

 Naibu waziri wa Viwanda na Biashara Janet Mbene akizungumza na Viongozi wa kampuni ya Marmo and Garnito Mines wakati alipokuwa kwenye ziara ya viwanda mkoani mbeaya hivi karibuni.
 Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara,Janet Mbene,akiangalia  baadhi ya bidhaa zilizotengenezwa na kampuni ya Marmo and Garnito Mines kwa ajili ya matumizi mbalimbali
 Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara , Janet Mbene, akitembelea sehemu ya kiwanda cha Marmo anda Granito Mines
Naibu Waziri Mbene, akiangalua bidhaa

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.