Menu

Saturday, August 22, 2015

*KUTOKA UWANJA WA TAIFA BADO NGOMA DROO, SASA NI KIPINDI CHA PILI

Beki wa Azam Fc, Pascal Wawa,akimlalamikia mshika kibendera wakati wa mchezo wa Ngao ya Hisani unaoendelea hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam,kati ya Yanga na Azam. Hivi sasa ni kipindi cha pili bado ni 0-0.
 Beki wa Azam, Shomari Kapombe akiokoa hatari langoni kwake...
Mshambuliaji wa Yanga, Amis Tambwe, akipiga shuti katikati ya wachezaji wa Azam Fc.

No comments:

Post a Comment