Alama za matumizi ya Barabara mpya eneo la kona ya Mwananyamala ukitokea Moroco, kama inavyoonekana haiendi kama ilivyokuwa imezieleka kabla ya kujengwa kwa miundombinu hiyo mpiya.
Katika mabadiliko ya matumizi ya njia hizi mpya ni katika maeneo mengi yamebadilishwa matumizi tofauti na ilivyokuwa zamani, ambapo katika barabara hii eneo la Studio na Mkwajuni, hakuna njia tena ya kutoka njia ndogo kuingia njia kubwa upande wa kulia, bali kama umetokea Studio unatakiwa kwenda hadi mkwajuni na kuingia barabara ya Katumba na kuzunguka hadi kutokea Muslim, na iwapo umetokea Mkwanuji ndani, unatakiwa kwenda hadi Magomeni Moroco ndo unapata U-Turn
Hivi sasa bado vibao hivi havijaanza kufuatwa pamoja na kwamba tayari vimeshawekwa katika njia hizi, ila ukikutana na wazee nguo nyeupe walioamka vibaya lazima useme nao, so endeshwa kwa makini...



No comments:
Post a Comment