Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi mteule wa Tanzania Nchini Zimbabwe Lt. Gen. Charles Lawrence Makakala na Balozi Mteule wa Tanzania Nchini Uholanzi Mhe. Irene Florence Mkwawa Kasyanju, wakati Mabalozi hao kwa pamoja walipomtembelea Makamu wa Rais Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es salaam leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi wateule wa Tanzania Nchini Zimbabwe Lt. Gen. Charles Lawrence Makakala (kulia) na Balozi Mteule wa Tanzania Nchini Uholanzi Mhe. Irene Florence Mkwawa Kasyanju, baada ya mazungumzo yao Ofisini kwa Makamu, Dkt. Bilal, Ikulu Dar es salaam leo
No comments:
Post a Comment