Menu

Thursday, August 6, 2015

*MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA(TCAA) WATOA ELIMU YA USAFIRI WA ANGA KWA WANANCHI WALIOFIKA KWENYE MAONESHO YA NANE NANE NGONGO LINDI

Afisa Mwongoza Mdege Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Tuju Shalali akiongea na baadhi ya wananchi waliofika kwenye banda la Wizara ya Uchukuzi wakati Maonesho ya Kilimo ya Nane Nane yanayofanyika kitaifa katika uwanja wa Ngongo mkoani Lindi
 Afisa Habari kutoka Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Ally Changwila akiongea na baadhi ya wageni waliotembelea banda la mamlaka hiyo wakati wa Maonesho ya Kilimo ya Nane Nane yanayofanyika kitaifa katika uwanja wa Ngongo mkoani Lindi.
 Afisa Mwongoza Mdege Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Tuju Shalali akiwaonesha watoto waliotembelea banda mamlaka hiyo namna ndege vinavyorushwa angani kwa kutumia mfumo wa kompyuta wakati wa Maonesho ya Kilimo ya Nane Nane yanayofanyika kitaifa katika uwanja wa Ngongo mkoani Lindi.
 Afisa Habari kutoka Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Ally Changwila akiongea na baadhi ya wageni waliotembelea banda la mamlaka hiyo wakati wa Maonesho ya Kilimo ya Nane Nane yanayofanyika kitaifa katika uwanja wa Ngongo mkoani Lindi. Picha na Eleuteri Mangi- MAELEZO, Lindi

No comments:

Post a Comment