Menu

Thursday, August 6, 2015

*RAIS KIKWETE AKABIDHIWA KOMBE LA KAGAME CECAFA TOKA KWA TI MU YA AZAM FC IKULU DAR ES SALAAM LEO

Rais Jakaya Mrisho kikwete akimsikiliza Meneja wa Klabu bingwa wa Kombe 
la Kagame na mabingwa wa Tanzania Azam FC walipofika Ikulu jijini Dar es salaam kumkabidhi kombe hilo Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 6, 2015
Rais Jakaya Mrisho kikwete akikabidhiwa kombe la ubingwa michuano ya  Kagame ya CECAFA  na nahodha wa  mabingwa wa Tanzania Azam FC walipofika Ikulu jijini Dar es salaam kumkabidhi kombe hilo Ikulu jijini Dar es salaam leo.
Rais Jakaya Mrisho kikwete pozi na mabingwa Kombe la Kagame na 
mabingwa wa Tanzania Azam FC walipofika Ikulu jijini Dar es salaam kumkabidhi kombe hilo Ikulu jijini Dar es salaam leo. Picha na IKULU

No comments:

Post a Comment