Rais Jakaya Mrisho kikwete akimsikiliza Meneja wa Klabu bingwa wa Kombe
la Kagame na mabingwa wa Tanzania Azam FC walipofika Ikulu jijini Dar es salaam kumkabidhi kombe hilo Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 6, 2015
Rais Jakaya Mrisho kikwete akikabidhiwa kombe la ubingwa michuano ya Kagame ya CECAFA na nahodha wa mabingwa wa Tanzania Azam FC walipofika Ikulu jijini Dar es salaam kumkabidhi kombe hilo Ikulu jijini Dar es salaam leo.
Rais Jakaya Mrisho kikwete pozi na mabingwa Kombe la Kagame na
mabingwa wa Tanzania Azam FC walipofika Ikulu jijini Dar es salaam kumkabidhi kombe hilo Ikulu jijini Dar es salaam leo. Picha na IKULU



No comments:
Post a Comment