Habari za Punde

*MUALIKO WA KUHUDHURIA MJADALA WA VYAMA VYA SIASA NA UZINDUZI

Twaweza inapenda kukualika katika shughuli zufuatazo :
Twaweza would like to invite you to the following series of events 
:
1. Uzinduzi wa Ripoti ya Sauti za Wananchi | Maoni ya wananchi kuhusu ugunduzi wa gesi
SWAHILI
Muda: 11:0am - 1:00pm
Tarehe: Jumanne Septemba 1 2015
Mahali: Makumbusho (Imetazamana na IFM)
Wageni waalikwa
Peter Bofin - Oxfam Tanzania na Kenya 
Ludovick Utouh - Mkaguzi Mkuu Mstaafu 
James Mataragio - Mkurugenzi Mtendaji, TPDC
John Ulanga - Vice President of Policy and Corporate Affairs
ENGLISH
Time: 11:0am - 1:00pm
Date: Tuesday September 1 2015
Venue: National Museum (Opposite IFM)

Peter Bofin - Oxfam Kenya and Tanzania
Ludovick Utouh - Mkaguzi Mkuu Mstaafu
James Mataragio - Mkurugenzi Mtendaji, TPDC
John Ulanga - Makamu wa Raisi, Ofisi ya Sera na Ushirika, BG Tanzania

****************************************************************************
2. Uzinduzi wa Ripoti ya Sauti za Wananchi | Uelewa wa wananchi juu ya mchakato wa uchaguzi

SWAHILI
Tarehe: Jumatano Septemba 2 2015
Muda: 10:00am – 11:00am (Saa nne hadi saa tano asubuhi)
Mahali: Ofisi za Twaweza, (Barabara ya Mafinga, Imetazamana na Benki ya Stanbic Kinondoni)

  Msemaji Mkuu
Aidan Eyakuze - Mkurugenzi Mtendaji, Twaweza

ENGLISH
Time: 10:0am - 11:00am
Date: Wednesday September 2 2015
Venue: Twaweza Offices (Opposite Stanbic Bank Kinondoni)

Main Speaker
Aidan Eyakuze - Executive Director. Twaweza
**********************************************************************
3. Mdahalo | Mdahalo wa vyama vya siasa vikijadili suala la Utaifa

SWAHILI
Tarehe: Jumapili Septemba 6 2015
Muda: 9:00 – 11:00am (Saa tisa mchana hadi saa kumi na moja jioni)
Mahali: Ukumbi wa Julius Nyerere International Conference Centre (JNICC) - Posta

Wageni Waalikwa
Vyama vitano vya siasa tulivyochagua ndivyo vuilivyokuwa na wagombea wengi zaidi (ngazi ya ubunge na udiwani) kwenye uchaguzi mkuu ujao. Vimealikwa kutuma wataalam wao kushiriki midahalo itakayojadili maeneo muhimu yanayohusu wananchi. Wawakilishi hawa watahojiwa na jopo la wataalam wa sekta husika.

Midahalo hii itarushwa moja kwa moja na Star TV na Redio RFA

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.