Menu

Saturday, August 29, 2015

*RAIS KIKWETE AMJULIA HALI BWANA CHARLES KIZIGA

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali mwandishi wa habari Mkongwe wa magazeti ya Serikali ya Daily News na Sunday News Bwana Charles Kizigha nyumbani kwake Mbezi Beach jijini Dar es Salaam jana jioni.Aliyesimama kulia ni mtoto wa mwandishi huyo wa habari Mhe.Angela Kizigha ambaye ni Mbunge wa Afrika Mashariki.Rais Kikwete alimtembelea Bwana Kizigha nyumbani kwake baada ya kupata taarifa kuwa ni mgonjwa
Picha na Freddy Maro 

No comments:

Post a Comment