Menu

Saturday, August 29, 2015

*DK, FAUSTINE NDUGULILE AKIHUTUBIA MKUTANO VIJIBWENI

  Mgombea Ubunge Jimbo la Kigamboni  kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt.Faustine Ndugulile akihutubi Mkutano wa kampeni uliofanyika katika Uwanja wa Mzim Kata ya Vijibweni Kigamboni Dar es Sallam jana.
 Wananchi wakifurahia alipokuwa akipanda jukwaani Mgombea ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dkt.Faustine Ndugulile
 Wanacha wakimsikiliza kwa makini Mgombea
 Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Temeke na Mjumbe Halmashauri kuu Mkoa, Yahaya Sikunjema  (kulia) akimkabidhi Ilani ya Chama hicho Mgombea nafasi ya Udiwani kupitia Chama hicho   Zacharia Mkundi  katika mkutano wa kampeni uliofanyika Kata ya Vijibweni Dar es Sallam

No comments:

Post a Comment