Mgombea Ubunge Jimbo la Kigamboni kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt.Faustine Ndugulile akihutubi Mkutano wa kampeni uliofanyika katika Uwanja wa Mzim Kata ya Vijibweni Kigamboni Dar es Sallam jana.
Wananchi wakifurahia alipokuwa akipanda jukwaani Mgombea ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dkt.Faustine Ndugulile
Wanacha wakimsikiliza kwa makini Mgombea
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Temeke na Mjumbe Halmashauri kuu Mkoa, Yahaya Sikunjema (kulia) akimkabidhi Ilani ya Chama hicho Mgombea nafasi ya Udiwani kupitia Chama hicho Zacharia Mkundi katika mkutano wa kampeni uliofanyika Kata ya Vijibweni Dar es Sallam
No comments:
Post a Comment