Katibu Mkuu wa Wizara
ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile (kushoto) akisaini hati ya makubaliano ya
mkopo nafuu kati ya Serikali ya Tanzania na Benki ya Dunia ili kuimarisha sekta
ya afya nchini katika hafla iliyofanyika leo jijini Dar es salaam. Kulia ni
Mkurugenzi wa Benki ya Dunia nchini Tanzania Bi Bella Bird.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile (kushoto) akibadilishana hati ya makubaliano ya mkopo nafuu na Mkurugenzi wa Benki ya Dunia nchini Tanzania Bi Bella Bird (kulia) mara baada ya kusaini hati hiyo ya makubaliano kati ya Serikali ya Tanzania na Benki ya Dunia ili kuimarisha sekta ya afya nchini leo jijini Dar es salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dkt. Servacius
Likwelile (kushoto) akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kusaini hati
ya makubaliano kuimarisha sekta ya afya nchini leo jijini Dar es salaam. Kulia
ni Mkurugenzi wa Benki ya Dunia nchini Tanzania Bi Bella Bird.

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala
za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Dkt. Deo Mtasiwa (kulia) akisisitiza
jambo wakati hafla ya usatiji saini hati ya makubaliano kuimarisha sekta ya
afya nchini kati ya Serikali ya Tanzania na Benki ya Dunia leo jijini Dar es
salaam.
Baadhi ya waandishi wa
habari na viongozi wa serikali na wawakilishi wa Benki ya Dunia waliohudhuria
hafla ya kusaini hati ya makubaliano ya mkopo nafuu kati ya Serikali ya
Tanzania na Benki ya Dunia katika kuimarisha sekta ya afya nchini leo jijini
Dar es salaam. Picha Eleuteri
Mangi-MAELEZO




No comments:
Post a Comment