Mwanasheria kutoka kituo cha Msaada wa Sheria kwa Wanawake na watoto Bi,
Faudhia Yassin, akiwakaribisha wadau,na kujitabulisha katika mjadala juu kufahamu taratibu mbalimbali za
uchaguzi na haki za mwanamke katika uchaguzi kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu unaotarajia kufanyika Oktoba 25.
Bi, Hawa
Moshi akifafanua jambo wakati wa mafunzo maalumu ya wajibu wa wadau
mbalimbali katika kutetea na kulinda haki na Utu wa Mwanawake katika mchakato wa uchaguzi na kufahamu taratibu mbalimbali za uchaguzi na haki za mwanamke katika
uchaguzi. Mafunzo hayo yalifanyika leo mchana katika Hoteli ya Wanyama iliyopo Sinza jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya
wadau wakifuatilia mjadala uliokuwa ukijadili juu kufahamu taratibu mbalimbali
za uchaguzi na haki za mwanamke katika uchaguzi
Wadau
mbalimbali waliohudhuria katika mjadala juu ya kufahamu taratibu mbalimbali za
uchaguzi na haki za mwanamke katika uchaguzi
yaliyofanyika katika hotel ya Wanyama Sinza jijin Dar esSalaam leo. Picha na Miraji Msala
No comments:
Post a Comment