Menu

Monday, August 24, 2015

*ZAIDI YA WATU ELFU 52 WABAINIKA KUJIANDIKISHA MARA MBILI

Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi pamoja na kutoa ufafanuzi wa baadhi ya magazeti kuandika juu ya kasoro za BVR amewataka Wanahabari kufanya utafiti na kuiuliza NEC kila jambo na si kuamua tu kuupotosha umma,

Aidha amefafanua juu wagombea na vyama vya siasa kuanza kampeni kistaarabu na wafuate taratibu wazojiwekea ikiwemo ratiba na maadili ya uchaguzi.

LISTEN LIVE
Tume ya Taifa Ya Uchaguzi Tanzania
YOUTUBE / TV
VIPINDI VYA REDIO
FACEBOOK
TWITTER

No comments:

Post a Comment