Mwenyekiti wa CCM Taifa, na Rais Jakaya Kikwete, (katikati) akiwakabidhi Irani ya Chama wagombea urais kupitia CCM Dkt. John Magufuli na mgombea mwenza, Samia Suluhu, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Kampeni za chama hicho zilizofanyika leo kwenye viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam.
Mgombea Urais John Magufuli akiwapungia mikono wanachama wa CCM waliohudhuria uzinduzi huo leo kwenye viwanja vya Jangwani, wakati akiwasili kwenye viwanja hivyo
Mgombea Mwenza Samia Suluhu, akipunga mikoni kuwasalimia wanachama wa CCM waliohudhuria uzinduzi huo kwenye Viwanja vya Jangwani leo.
Hii yote ni furaha tu ya mgombea Magufuli akicheza muziki wa raggae kwa furaha uliokuwa ukipigwa na bendi ya TOT.
Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamini Mkapa, akizungumza...
Mwenyekiti wa CCM, Jakaya Kikwete, akizungumza
Mgombea Mwenza Samia Suluhu, akizungumza wakati wa uzinduzi huo....
Magufuli, akizungumza....
Sehemu ya umati wa watu waliohudhuria uzinduzi huo....
Mabango yenye ujumbe... KUSOMA ZAIDI BOFYA READ MORE
Nyomi la watu.....
Wanamuziki wa TOT wakishambulia jukwaa
Nape Nnauye akiendesha shughuli hiyo....
Rais wa Zanzibar, Dkt. Shein akisalimiana na mgombea mwenza wa CCM, Samia Suluhu. Katikati ni Mjumbe wa Nec, Makamu wa Rais wa Jamhuri ua Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal.
Dkt. Bilal, akiteta jambo na Mgombea Mwenza, Samia Suluhu.....
Meza kuu.....Viongozi
Wasanii wa bendi ya Yamoto, wakishambulia jukwaa...
Umati wa wanachama wa CCM
Makongoro Nyerere, akizungumza, ....''Miwani oyeeeeeeeeeeeee, Kofia oyeeeeeeee''
Peter Msechu, akishambulia jukwaa....
Diamond, akishambulia jukwaa...
Diamondi akishambulia jukwaa....
Kinana akizungumza...
Warioba akikandamiza msisitizo....
Eti anatafuta angle.....
Jakaya Kikwete,akipunga mkono kuwaaga wanachama wa CCM, wakati akiondoka kwenye viwanja vya Jangwani...
































No comments:
Post a Comment