Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akimtiwsha ndoo ya maji mkazi wa Kijiji cha Taif Wete Pemba Kaskazini baada ya kuzindua rasmi mradi wa maji safi na salama alipokuwa katika ziara yake ya kufungua miradi mbalimbali ya serikali Kisiwani humo. Mradi huo umefadhiliwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika ADB.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifunua kitambaa kuashiria uzinduzi rasmi wa Mradi wa bomba la maji safi na salama wakati wa uzinduzi huo katika Kijiji cha Taifa Wete Kaskazini Pemba jana.
Picha na IKULU



No comments:
Post a Comment