Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la Afrika kuhusu Makubaliano ya
Rasimu mpya ya Dunia inayohusu Usimamizi wa Masuala ya Tabianchi. Kongamano
hilo lilianza jana Sept 3, 2015 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu
Nyerere jijini Dar esSalaam.
Baadhi
ya Washiriki wa Kongamano hilo wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal, wakati
akihutubia.
Baadhi
ya Washiriki wa Kongamano hilo wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal, wakati
akihutubia.
Baadhi
ya Washiriki wa Kongamano hilo wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal, wakati
akihutubia.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiteta
jambo na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Mh. Dianna Melrose, wakati wa ufunguzi wa
Kongamano la Afrika kuhusu Makubaliano ya Rasimu mpya ya Dunia inayohusu
Usimamizi wa Masuala ya Tabianchi. Kongamano hilo lilianza jana Sept 3, 2015
kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar esSalaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Balozi
wa Uingereza nchini Tanzania, Mh. Dianna
Melrose, waksikiliza majadiliano wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Afrika
kuhusu Makubaliano ya Rasimu mpya ya Dunia inayohusu Usimamizi wa Masuala ya
Tabianchi, baada ya ufunguzi wa Kongamano hilo lililoanza jana Sept 3, 2015
kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa
katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo baada ya
ufunguzi jana.








No comments:
Post a Comment