Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na balozi wa India Nchini Tanzania, Mhe. Sandeep Arya, wakati
alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Sept 7, 2015 kwa
mazungumzo.
Makamu wa Rais Dkt. Bilal, akisalimiana na msaidizi waBalozi wa India nchini Tanzania, wakati walipowasili ofisini kwake Ikulu leo kwa mazungumzo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa
katika picha ya pamoja ya kumbukumbu na Balozi wa India Nchini Tanzania, Mhe.
Sandeep Arya, baada ya mzungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam,
leo.



No comments:
Post a Comment