Habari za Punde

*MAMA SAMIA SULUHU AUNGURUMA TEMEKE JIJINI DAR LEO

 Mgomea Mwenza wa Uraus kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wake wa kampeni aliofanya leo katika Kata ya Buza, jimbo la jijini Dar es Salaam.
Wananchi wakimshangilia Mama Samia Suluhu kwenye mkutano huo. 

Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM,Mama Samia akishangiliwa na wananchi baada ya kuwasili kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye kata ya Buza jimbo la Temeke mkoani Dar es Salaam. 
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhai Madabida akimkaribisha mgombea Mwenza wa urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia, kuhutubia mkutano wa kampeni uliofanyika kata ya Buza, jimbo la Temeke katika mkoa huo.
Mgombea ubunge wa Temeke Abbas Mtemvu akiomba kura baada ya kunadiwa na Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM,Mama Samia katika mkutano wa kampeni uliofanyika Kata ya Buza katika jimbo hilo 
 Shamrashamra za wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni za mgombea mwenza wa urais kwa tiketi ya CCM katika kata ya Buza jimbo la Temeke.

Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia akiwatuza vijana wakundi la Fataki, baada ya kutumbuiza kwa ngonjera zao wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika kata ya Buza jimbo la Temeke mkoani dar es Salaam. Picha na Bashir Nkoromo

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.