Habari za Punde

*MKUTANO MKUU WA TFF KUFANYIKA DESEMBA 19, 2015

Kikao cha Kamati ya Utendaji cha Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) kilichokaa tarehe 06/09/2015 kilipanga tarehe ya Mkutano Mkuu wa TFF kuwa ni Disemba 19-20, 2015.
Ajenda za Mkutano zitakuwa ni kwa mujibu wa katiba ya TFF.

MKUTANO MKUU TFF DISEMBA 19, 2015
Kikao cha Kamati ya Utendaji cha Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) kilichokaa tarehe 06/09/2015 kilipanga tarehe ya Mkutano Mkuu wa TFF kuwa ni Disemba 19-20, 2015. Fuata link chini kwa taarifa zaidi
KUSOMA ZAIDI BOFYA LINKI HIZO

VPL KUANZA KUTIMUA VUMBI VUMBI JUMAMOSI
Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara msimu wa 2015/2016 inatazamiwa kuanza kutimua vumbi jumamosi Septemba 12, 2015 kwa michezo saba kuchezwa katika viwanja tofauti nchini. Fuata link chini kwa taarifa zaidi

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.