Waziri wa Fedha Saada
Mkuya Salum akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Serikali na
wajumbe kutoka Benki ya Exim ya Korea baada ya kusaini hati ya mkataba wa
makubaliano ya mkopo wa Dola za Kimarekani milioni 91.032 ambazo ni sawa na Sh.
Bilioni 154.39 za Kitanzania zilizotolewa na Benki ya Exim ya Korea kwa ajili
ya ujenzi wa daraja la Salenda jijini Dar es salaam. Picha na Eleuteri
Mangi-MAELEZO
Michezo : Mwakinyo Amchapa Mnigeria kwa KO
-
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
BONDIA wa Kimataifa Mtanzania, Hassan Mwakinyo amefanikiwa kuibuka mshindi
wa pambano lake dhidi ya mpinzani wake Mniger...
2 hours ago

No comments:
Post a Comment