Habari za Punde

*BONDIA MICHAEL YOMBAYOMBA AFARIKI DUNIA,AZIKWA KIBAHA MKOA WA PWANI

Makamu wa Rais wa Shirikisho la ngumi za ridhaa Tanzania BFT, Wililo Lukelo akitoa salam za rambirambi kutoka kwa wadau wa mchezo wa masumbwi mbalimbali nchini wakati wa mazishi ya bondia Michael Yombayomba yaliyofanyika Kibaha mkoa wa Pwani jana.
Wadau wakibeba jeneza la marehemu Michael Yombayomba kuelekea mazikoni.
Safari ya kuelekea makaburini..


 
Mtoto wa marehemi Michael Yombayomba Zakaria Yombayomba akiwasha mshumaa katika kaburi la baba yake.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.