Habari za Punde

*RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA MABALOZI WA MALAWI NA SWEDEN IKULU JIJINI DAR LEO

 Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Balozi wa Malawi hapa nchini Mhe. Hawa Ndilowe  Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumanne Desemba 8, 2015
 Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akimsindikiza  na Balozi wa Malawi hapa nchini Mhe. Hawa Ndilowe baada ya mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo.
 Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipokea barua za salamu toka na Balozi wa Malawi hapa nchini Mhe. Hawa Ndilowe aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo.
Picha na IKULU

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.