Habari za Punde

*MASINDANO YA KITAIFA YA MCHEZO WA BASEBALL KUANZA IJUMAA WIKI HII JIJINI DAR

 Katibu Mkuu wa Chama cha Mchezo wa Baseball nchini Alpherio Nchimbi(kulia) akitoa ufafanuzi kwa  waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kuhusu Mashindano ya Kitaifa ya Awamu ya Tatu ya Mchezo wa Baseball yanayotarajia kuanza Ijumaa ya wiki hii jijini Dar es salaam.
 Nahodha wa Timu ya Baseball ya Kibasila Pius Peter (kulia) akiwaonyesha waandishi wa habari  leo jijini Dar es salaam jinsi ya mchezo huo unavyochezwa. Kushoto ni  Nahodha wa Timu ya Baseball ya Tigers  Mussa Mbugi.
 Katibu Mkuu wa Chama cha Mchezo wa Baseball nchini Alpherio Nchimbi(kushoto) akitoa ufafanuzi kwa  waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kuhusu Mashindano ya Kitaifa ya Awamu ya Tatu ya Mchezo wa Baseball yanayotarajia kuanza Ijumaa ya wiki hii jijini Dar es salaam. Wengine ni Nahodha wa Timu ya Baseball ya Kibasila Pius Peter (wa pili kulia) ,Nahodha wa Timu ya Baseball ya Tigers  Mussa Mbugi( wa pili kushoto) na Nahodha wa Timu ya Baseball ya Giants Douglas Stanslaus(kulia).
  Katibu Mkuu wa Chama cha Mchezo wa Baseball nchini Alpherio Nchimbi(wa pili kulia) akitoa ufafanuzi kwa  waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kuhusu Mashindano ya Kitaifa ya Awamu ya Tatu ya Mchezo wa Baseball yanayotarajia kuanza Ijumaa ya wiki hii jijini Dar es salaam. Wengine Nahodha wa Timu ya Baseball ya Kibasila Pius Peter(kushoto) ,Nahodha wa Timu ya Baseball ya Tigers  Mussa Mbugi( wa pili kushoto) na Nahodha wa Timu ya Baseball ya Giants Douglas Stanslaus( kulia). Picha na MAELEZO-Dar es salaam.Picha na MAELEZO-Dar es salaam

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.