Habari za Punde

*GARI LATEKETEA KWA MOTO BARABARA YA GOBA MNARA WA VODA

Gari aina ya Pick Up lenye namba za usajiri T 963 BFW, likiwa tayari limeteketea kwa moto eneo la Mnara wa Voda Barabara ya Goba Mbezi Juu usiku wa kuamkia jana kama lilivyokutwa na kamera ya Mafoto jana asubuhi. Haikuweza kufahamika chanzo cha ajali hiyo kilichopelekea gari hilo kuwaka moto na haikuweza kufahamika kama waliokuwamo katikagari hilo walisalimika ama la.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.