Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Ikulu na Utawala Bora Dkt.Mwyinyihaji Makame kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kufungua Jengo la Wagonjwa wa Nje Hospitali ya Kivunge Wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa Kaskazini Unguja,katika shamra shamra za Mapinduzi matukufu ya Zanzibar kutimia miaka 52 (wa pili kushoto) Naibu Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo Jecha.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Ikulu na Utawala Bora Dkt. Mwyinyihaji Makame kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akikata utepe kufungua Jengo la Wagonjwa wa Nje Hospitali ya Kivunge Wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa Kaskazini Unguja lililojengwa na Shirika lisilokuwa la kiserikali kutoka Uingereza (HIPZ) ikiwa ni katika shamra shamra za Mapinduzi matukufu ya Zanzibar kutimia miaka 52 (wa pili kushoto) Naibu Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo Jecha. Picha na Ikulu.


No comments:
Post a Comment