Habari za Punde

*KATIBU WA BODI YA FILAMU AWAPOKEA WASHINDI WA TUZO ZA FILAMU BORA AFRIKA (AMVCA)

  Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bi. Joyce Fissoo (kulia) akiwa na Vyone ‘Monalisa’ Cherry, ambaye ameshiriki kucheza filamu iliyoshinda tuzo ya Filamu Bora ya Lugha ya Kiswahili Afrika inayoitwa Kitendawili.
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bi. Joyce Fissoo (kushoto) akiwa pamoja na mshindi wa tuzo ya Filamu Bora ya Lugha ya Kiswahili Afrika Bw.Single “Richie”Mtambalike baada ya kuwapokea leo jijini Dar es Salaam. Richie amepata tuzo hiyo kupitia filamu ya Kitendawili ambayo amecheza na Yvone“Monalisa”Cherry.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.